Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI AU UNAWEZ PITIA GOBA NJIA NNE*
UMBALI KM 2 KUTOKA LAMI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA....
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA KIKUBWA
-JIKO KUBWA
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI UNA JITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
*BEI NI 250,000 ILIPWE MIEZI 4,5,6(MAONGEZ KUHUSU BEI FIKA SITE)*
*ANGALIZO:MTEJA MPYA ATASUBIR MPK TAREHE 10.7.2024 MAAN ANA AMISHWA KIKAZI WAHI*
Simu
0679997610
0658884015
0747997630
Msigwa
_____