Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


# MPYA APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA
# Chumba kimoja master na sebure na jiko
# Inajitegemea umeme luku yakwako na maji yanaflow ndani
# Parking ipo
# Ipo kimara baruti umbali wa dakika 12 kwamguu barara ni rami hadi mlangoni njia ya kuelekea chuo udsm
# kodi ni laki 3 na 50 tu kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087