Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA PARKNG SPACE IPO KUBWA SANA, NA SECURITY IPO YA UHAKIKA
*LUKU YA KUSHEA WA 2, NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK10 KWA MGUU, PKPK 1000/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
________________________________________________________
NB:PINDI ULIPIAPO KODI YA MIEZI 6, UTAHAMBATANISHA NA SH.84,000/= YA ULINZI, USAFI, NA MAJI TAKA KWA MIEZI 6
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:0620_436331
*CALL:0758_602157
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________