Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Bei: 100,000 Kwa mwezi  Miezi X3 Tuu.
===
MASTER BEDROOM INAPANGISHWA MPYA MPYA KABISA IPO:KIMARA MWISHO (DSM)๐น๐ฟ 
====
Umbali Dakika.13 kwa Kutembea kwa mguu
 Kutoka barabara ya morogoro road 
Usafiri bajaji zipo Tsz 700/= Boda boda Tsz 1000/=
====
Umeme submeter yako
,maji meters yako
 maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0748817181




















