Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NIMEISHUSHA BEI SASA HIVYO 280,000/=×3 APARTMENT MPYA KABISA BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI .
CHUMBA
SEBLE
JIKO
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW
FENCE INA JENGWA
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000
KODI 280,000/=×3
0679446338
0753454167