Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 8
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL
0712656027