Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 180K MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK15 BODA SH.1000
SIFA ZA NYUMBA 👇
CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
CCTV CAMERA ELECTRIC FENCE TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME MITA YAKO MAJI YANA TOKA NDANI PARKING KUBWA SANA PAVING BLOCK NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 180000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
O677370515
Nb:nyuma inakuwa wazi tarehe 10/04/2025 kuona na kulipia rukusa