Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 350K.
MPYA KABISA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA K1 NI MASTER
SEBULE JIKO NA CHOO PUBLIC
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SHARE WAWILI
YANAFLOW NDANI
TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA NYAVU MAKUBWA YENYE HEWA SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
ZIPO APARTMENT 2 KWA COMPOUND 1
LOCATION KIMARA BUCHA DK 10 TOKA BRBRN
BEI NI 350,000.
0782636396 0655436396 0767636395