Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA NA SEBURE KUBWA "DOUBLE''
NZURI SAANA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 100K X6//
ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
#NYUMBA HII IPO NDANI YA FENCE
#LAKINI HAILAZI GARI.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#UMEME WANASHARE W4.
#CHOO WANASHARE W2.
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
BAJAJI TSH 1000/=
BODA TSH 15,00/=