Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###120K
---------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ##USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA ###BAJAJ NI TSH  5OO  UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK  8 HADI KWENYE NYUMBA. 
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI MITA MNASHEA WAWILI. 
HAINA FENSI MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA MPAKA HAPO USALAMA UPO.
------
KODI NI LAKI  120,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------------
NOTE =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKRISTO TU , NA KODI NI MIEZI SITA  HAIPUNGUI CHINI YA HAPO
ZINGATIA = DALALI MALIPO MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO CHUMBA HAINA MJADALA ๐ 
0652 508128 
0753 989554 
=====




















