Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0677445508
HII APARTMENT ITAKUWA WAZI TAR 25/05/2025 NI J PILI
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA SUKA
.
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA KIBARAZA KIZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PERVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI GARDEN SAFI #PIA INA FEN CHUMBANI NA SEBLEN
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOONI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT