Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIKO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA ZA CHINI MBILI ZIKO WAZI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI NYUMBA MPYA UKIHAMIA WEWE MPANGAJI UNAKUWA WA PILIš
(A) #SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI YA KISASA
#STORE KUBWA SANA
#CHOO CHA FAMILIA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
(B)š
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
__
#0754344786
#0652472014
____
PIGA SIMUUUU