Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ##400K
--------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK  8 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL. 
--------
HII NYUMBA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE  01 / 7 / 2024.
SIFA ZAKE =
VYUMBA  2 VYA KULALA KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
DINING ROOM 
JIKO ZURI 
STORE
PUBLIC TOILET 
REZEV SIMTANK 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA. 
---------
KODI NI 400,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA. 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------
๐ PICHA  ZA NDANI UTAZIPATA 
NOTE =
TARATIBU  ZA MALIPO NI MIEZI SITA NA SI CHINI YA HAPO VILEVILE KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY ) HI NI TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA AMBAZO ZITALIPWA ZOTE KWA PAMOJA.
----------
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000  HII ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA  NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
# Simu 0757 404087




















