Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
——
INAPANGISHWA #KIMARA_SUKA DK 15 TOKA KITUONI KWA KUTEMBEA.
Kodi 300000/= × 6 laki tatu Mwezi Dalali Mwezi 1 service Charge 15000 Kuona Nyumba
Sifa za nyumba
=========
Room 2 zote ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Nyumba ipo katika marekebisho hapa zipo nyumba mbili zote bei Moja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja