Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZIKO NNE KWENYE COMPAUND MOJA
(A)SEBULE KUBWA SANA
MASTA KUBWA PIA
JIKO KUBW
CHOO CHA WAGENI NI NNJE
TAILZY GIPSAM
DIRISHA WAVU MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA GETI HAMNA PARKING YA KUTOSHA
LUKU WAWILI, MAJI SHARE BILL YA DAWASA NA YANATOKA NDANI
#BEI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
(B)CHUMBA MASTER KUBWA
JIKO ZURI LA NDANI
TAILZY GIPSAM
DIRISHA WAVU
MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA KASORO GETI HAMNA
LUKU WAWILI
MAJI DAWASA YA KUSHARE BILL YANATOKA NDANI
BEI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
LOCATION KIMARA BUCHA DK 8-10 KWA MIGUU BODA 1,000
# Simu 0757 404087