Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK 13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
Chumba master kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Fence ya waya ina wekwa
Parking space kubwa sana
Service charge 15,000
Kodi 250,000X6
##0655256419



















