Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 HOUSE FOR RENT
#STAND ALONE KUBWA CLASSIC
Location: KIMARA STOP OVER
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Main Road.
✅️Sebule kubwa
✅️Dinning Room
✅️Vyumba V4 Vikubwa Vya Kulala
✅️Vyumba V3 Vyote Ni Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Choo Kizuri Ndani
✅️A/c Sebuleni
✅️Heater Za MAJI
✅️Garage Ya Gari
✅️Good Environment 👍
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani Ya Fence Parking ipo Na UMEME LUKU Umeme Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
KODI 700,000 × 6
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp