Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(100,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*MASTER BEDROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI CHA WASTANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE HAKUNA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI × 6
_____________________________
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA 𝗡𝗜 𝗧𝘀𝗵 15,000/=
𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗔𝗟𝗜 𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗠𝗢𝗝𝗔
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300