Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI#AKUNA MASTER BEDROOM
*ZIKO NYUMBA 6 KWENYE COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX500/=
*KODI 230,000/= KWA MWEZI
____________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________