Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA- KIMARA MWISHO MPYAAAA MPYAA
CHUMBA Cha Kulala
Sebule na Choo ndani (master Bedroom
๐ฐBei:170,000 kwa mwezi x 6
Inajitegemea umeme,Maji yanaflow chooni
Umbali KM 2.5 toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
Ndani ya fence parking ipo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37