Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 280,000/= X 6
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168