Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250,000. KIMARA TEMBONI 
APATIMENTI  KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA 
IPO KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-
PKPK 1000/=
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA  SEBULE CHOO NDANI CHA PUBLIC NA JIKO 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Nyumba inapigwa aluminium  yote tajiri
O679447338 
0753454167




















