Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam




🌟 KIWANJA CHA KUUZWA KIMARA BARUTI – FURSA ADIMU! 🌟
Kiwanja kizuri kinauzwa Kimara Baruti, umbali wa dakika 7–8 kutembea kutoka Stendi ya Mwendo Kasi.
Ukifika kwa bodaboda, ni Tsh 1,000 tu kufika kiwanjani.
📐 Ukubwa wa Kiwanja:
26 m × 16 m = 416 sqm
Marefu 26, mapana 16
📍 Mahali: Kimara Baruti – eneo tulivu, salama, na linalokua kwa kasi.
💧 Huduma za Maji: Zipo karibu sana
⚡ Umeme: Upo jirani
🌍 Huduma za jamii: Maduka, shule, usafiri, na vituo muhimu viko karibu
🏠 Matumizi Yanayofaa:
– Makazi ya familia
– Nyumba za kupangisha
– Ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye nafasi
💰 Bei ya Kiwanja:
Tsh 38,000,000 tu
(Maongezi madogo yapo kwa mteja makini)
Service charge: Tsh 20,000
Kiwanja kipo katika sehemu safi na yenye maendeleo — uwekezaji salama, wenye faida, na usiopaswa kuachwa!
📞 Wasiliana: 0740747383



















