Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fc38fbef9-1b0c-47f3-9116-29c37580f5ef.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fc38fbef9-1b0c-47f3-9116-29c37580f5ef.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02/06/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
PIGA CM
0710614924
0688653940