Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/02/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
š„ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
ā¼ļøHAKUNA MASTER BEDROOM HAPA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 330,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 30 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
šļø APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
š„ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/02/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
Piga cm. 0764575774