Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
.
.
CHUMBA KIPO KIMARA KOROGWE KM 1 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 4 MPKA 5 UPO NYUMBAN
KODI NI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
CHUMBA KINA TILES GYPSUM ALUMINUM MAZINGIRA MAZURI NDAN YA FENSI USALAMA SAFI PARKING IPO KUBWA BRBR IPO VIZUR HATA KWA WALE WENYE MAGARI YA CHIN
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOON NA JIKO
SERVICHAJ ELIFU 15
DALALI SILAA MWEZI MMOJA
NB;
NYUMBA HII IMESHALIPIWA LAKINI ZIPO NYINGINE NZURI ZAIDI YA HII
CONTACT
0713661530_0783661530