Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii NI master bedroom na jiko ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii bado mpya
Yaani ni chumba na choo ndani na jiko
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X6
CALL
0712500602
0755336565


















