Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NIMEISHUSHA BEI SASA HIVYO 280,000/=×3
APARTMENT MPYA KABISA BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
CHUMBA MASTER NA SEBULE JIKO
LUKU YAKO MAJI YANAFLOW
FENCE INA JENGWA
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI TSH 280,000/=×3
ILIOPO WAZI YA JUU
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258