Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA NYUMBA IPO GHOROFANI .
NYUMBA NI KALI SANA IPO KIMARA MWISHO BONYOKWA UKISHUKA NA BAJAJI UNAINGIA NDANI KODI 170000 KWA MWEZI MIEZI 6HIZI
#APARTMENT YA GHOROFA ILIYOPOWAZI YA JUU ZIPO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY
#GYPSAM
#ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#METER YA MAJI DAWASA YAKO NDANI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION #KIMARA_MWISHO_NJIA_YA_BONYOKWA
#USAFILI BAJAJ 700 UKISHUKA TUU UNAPIGA TEKE MLANGO
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796whtsp
#0712348316WhatsAp