Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


500,000 Bala Bala nzuli kwamagali haina zote zege mmbaka getini zege ukanyagi tope
——
STAND ALONE FOR RENT LOCATION KIMARA KOROGWE 500k x6 
KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 5 TUH KWA MIGUU 
ILIPWE LAKI TANO MALIPO YA MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI LA NDANI NA LA NJE
PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI 
STORE 
PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCKS 
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI TAREHE 30-05- KUONA NA KULIPIA RUKSA KWA WALE WASIO NA HARAKA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20000 NA UKIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI  PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863 
0696708032
0759151524



















