Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 4,5,6) KIMARA KOROGWE KILUNGULE
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU HII SI YA KUJIULUZA SANA KAMA HAUNA MDA WA KUJA TUMA ELA NIKULIPIE MKATABA UTAUKUTA KWANGU
NI APARTMENT NZURI MNOOOOO
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, MPAKA 6
YA JUU NDO IPO WAZI
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
INA TILES GYPSUM ALLUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE HAP0 PAVING BLOCKS SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
UMBALI km 1.5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300