Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA 120K
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA BAJAJ NI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 8 HADI KWENYE NYUMBA.
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI MITA MNASHEA WAWILI.
HAINA FENSI MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA MPAKA HAPO USALAMA UPO.
KODI NI LAKI 120,000
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000
NOTE =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKRISTO TU , NA KODI NI MIEZI SITA HAIPUNGUI CHINI YA HAPO
ZINGATIA = DALALI MALIPO MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO CHUMBA HAINA MJADALA 👉 KUNA MPAMBE WA KUPOZWA MBELE HAKWEPEKI
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37