Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







πͺ MPYA MPYA MPYA CHUMBA MASTER INAPANGISHWA β 80,000 TZS
π Eneo: Kimara Suka β umbali wa km 1.5 kutoka barabara kuu
---
π MAELEZO YA NYUMBA:
β
Chumba master β choo & bafu ndani
β
Safi, kipya, na chenye nafasi ya kutosha
β
Maji yanapatikana muda wote
β
Umeme wa wawili tu
β
Nyumba ipo ndani ya fensi β salama na utulivu
β
Mazingira ya familia au mtu mmoja anayetafuta utulivu
---
π° Kodi: 80,000 TZS kwa mwezi
π Malipo ya mwanzo: Miezi 6
ποΈ Kuangalia nyumba: 15,000 TZS
---
π Wasiliana na mmiliki:
π² Simu / WhatsApp: 0659244543
---
π’ Fursa ya kupanga chumba master kilichojengwa kwa viwango β usikose!
π #ChumbaMaster #Kodi80k #KimaraSuka #PangoDar #NyumbaInapangisha



















