Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







150000x6 au 180,000 x4. 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg. Ukishuka tu kwenye bajaji unatmbea dakika moja tajili
APARTMENT NZURI INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
INA CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LA KUPIKIA
UMBALI KM 2.5
KODI 150,000X6
AU 180,000X4
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 700
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME WAWILI TU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0781 418 437
0759151524
====