Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/=X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
‼️HAKUNA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA (OPEN KITCHEN)
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA MBALI MBALI
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
___