Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT HII IPO KIMARA STOPOVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏛🏛🏛KALISANA
KODI KWAMWEZI 250,000/=×6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA FULL MAKABATI
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENCE PAKING KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK ULINZI WA KUTOSHA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1👈 BODABODA 1000 BARABARA NIYAZEGE MPAKA GETINI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 4 NA HII MOJA NDO IPOWAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 2,0000
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030