Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


350,000X5 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI KM.1.5
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ SH.700 UKISHUKA UNATEMBEA DK.2
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA CHENYE KABATI LA NGUO SEBULE KUBWA SANA DINNING KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB:
NYUMBA HII NAFAULISHA MTEJA AMEHAMISHWA KIKAZI
ILIPWE LAKI TATU NA HAMSINI KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI MITANO TU
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258