Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT HAPA KUNA NYUMBA TATU TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI NDUGU MTEJA๐
(A)#CHUMBA MASTER
  #SEBULE KUBWA
  #JIKO KUBWA LENYE KABATI
  #STORE
#LUKU YAKO MAJI YAKO DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK
#BEI NI 260,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
(B)#CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO LAKE ZURI LENYE MAKABATI
  #LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
(C)#CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI 
  #LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#BEI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION KIMARA KOROGWE NJIA YA ZEGE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI AU DALADALA NAULI 500 TU 
PIGA cm 0764575774




















