Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
WAHI HAPA MPYAAAA KABISA HIZI
LOCATION: KIMARA MWISHO AU STOP OVER
UMBALI KM 1.2 TU BODA 1000
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI ZAIDI
=====
(A)KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LENYE MAKABATI
NA CHUMBANI KUNA KABATI LA NGUO KABISA
KODI 250,000X6
UMEME SUB METER
MAJI YANA FLOW NDANI
VYOO VYA KISASA KABISA
(B)
CHUMBA SEBULE NA CHOO CHA NNJE CHA KWAKO MWENYEWE NA JIKO LA NNJE LA KWAKO
KODI 150,000X6
MAJI YANA FLOW CHOONI NA JIKONI
(C)
KUNA CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA KIBARAZA CHA KUPIKIA
KODI 120,000X6
MAJI YANA FLOW NDANI
(D)
KUNA CHUMBA SINGLE KIZURI KIKUBWA SANA
KODI 70,000X6
CHOO CHA NNJE PEMBENI
MAJI YANA FLOW CHOONI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI