Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED YA 5G WAHI ZINAKUWA TAYALI TAYARI KUHAMIA TAREHE 30/06/2024 ZIMEBAKI MBILI TU
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK ZINAWEKWA FENSI INAJENGWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
ANAHITAJIKA MTU WA KUSUBILI SIO KUSUMBUA TAREHE 01/07/2024 MKATABA NDIO UNAANZA
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0627977383