Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







270K X6 MPYA MPYA ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI KUTOKA KITUONI
KM 1.2
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ 5OO NA UKISHUKA DK 3
CHUMBA KIKUBWA SANA NA SEBULE NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI CHOO NI PUBLIC YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME MITER YAKO MAJI WAWILI PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NYUMBA HIZI ZIPO NDANI YA FENSI
PAVING BLOCK
BEI NI 270K MIEZI 6 BILA PUNGUZO
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
CONT 👇
#0710614924
#0688653940