Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#0783794666
NI APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
🛣LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAINGIA NDANI
💰KODI NI TZS 200,000K X4 👈
SIFA ZAKE,,,👇
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA YAKUJIACHIA NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ZIPO APARTMENTS MBILI TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI
NB:,,👇
NYUMBA HII FENCE YAKE UBAVU MMOJA NI YA MAUA PIA HAILAZI GALI
MAZINGIRA YAKE NI TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA