Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK4 KUTOKA LAMI KWA MIGUU. INAKUWA WAZI TAR 30 .4.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
CHUMBA KIKUBWA
SEBLE KUBWA SANA
JIKO LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW.
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
GARDEN SAFI
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
KODI 300,000/=×6
# Simu 0757 404087