Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_kimara_kimara_kimara_
dalali_sekro_kimara_ubungo
dalali_kimara_kimara_kimara_

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#KODI 350K MALIPO MIEZI X6STAND ALONE KWENYE FENCI IPO YENYEWELOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA KU...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble kubwa...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA LAMI. ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1 KUTOKA LAMI ------Chunba master Seble kubwa JikoLuku yako...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI AU BODA BUKU ------Chumba Seble kub...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

Apartment Mpya ZinapangishwaMahali: Kimara KorogweBei: 500,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Km1 Kutoka Mw...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA MWISHOAPARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 SIFA YA NYUMBA NI chumba...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)KIMARA SUKA➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT_FOR_RENT_ATKIMARASUKA 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏛🏛🏛KALISANA IPOWAZI ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

(300,000 × 6) #KIMARA_MWISHOApartment Nzuri Inapangishwa Kimara MwishoBei: 300,000 Kwa MweziMalipo: ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

#NIMEISHUSHA BEI MPKA 150K#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA MWISHO✔️CHUMBA CHA KULALA✔️SEBULE ✔️JIKO✔️CH...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2025 AU ...

Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

LOCATION: KIMARA TEMBONI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD NI KIWANJA KIZURI KINAUZWA UKUBWA SQMT 400 (20 kw...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APATIMENTI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONIUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 6KWA MGUU=====SIFA ZA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZISIFA ZAKE ============SEBULE K...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA NZURI BEI MSELELEKO KODI 120,000X6 CHUMBA MASTER NA SEBULE TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO MA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#KODI 350K MALIPO MIEZI X6STAND ALONE KWENYE FENCI IPO YENYEWELOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA KU...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

🇹🇿 APARTMENT #INAPANGISHWA📍kimara korogwe 🕑Dakika 8_10 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi kwa ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO...