Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 300,000X6 APARTMENT NZURI YA KISASA INA PANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO UMBAL DK 8 KWA MGUU
#CHUMBA MASTAA
#SEBULE
#JIKO LA MAKABAT
#LUKU YAKO
#MITA MAJI YAKO
#TILES
#GYPSUM
#ALUMINUM
#FENCE GET
#CC TV CAMERA
#PARKING SPACE KUBWA
#FREE WI-FI
#ILIO WAZI NI YA CHINI
#Nyumba itakua wazi Jmatatu kuona kulipia ruksa
Kodi 300,000/=X6
SERVICE CHARGE 15,000/=
Contact
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343