Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU TU
KODI TSH 150,000x3
IPO KIMARA KOROGWE BARABARA NZURI SANAA MPYAA YA ZEGE
USAFIRI BAJAJI ZIPO UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO KWENYE NYUMBA.
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15 AU BAJAJI ZIPO SH 500 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE
❌HAINA JIKO 👈
MAJI DAWASA YAPO NJE PEMBENI HAYATOKI NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMEME LUKU WAWILI NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24👈
KUONA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258
📱📲👈 0719-586118