Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= × 5,6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/03/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 350,000/= × 5,6
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 NA KUENDELEA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/03/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300