Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 100,000 malipo ya mwezi 1 , Au 2
KODI LAKI MOJA KAMILI
Umeme submeter & Maji Elfu 10 kwa mwezi
KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJANI USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
FLOW YA KAWAIDA GYPSUM MADIRISHA NYAVU YENYE HEWA NZURI NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI SANA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347