Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, MAJI DAWASA YAPO NJE
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU SUBMETER
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 120,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:#0769680796☎
*CALL: #0712348316WhatsAp
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________