Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI ELFU 70,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA TEMBONI KM 2.3 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA
CHOO NJE CHA KWAKO MWENYE
NYUMBA INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO
NI WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENSI
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
#0785889413